Monday, June 30, 2014

DIAMOND PLATNUMS USO KWA USO NA NELLY KATIKA BET

HIKI NDICHO ALICHOANDIKA DIAMOND "Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi... kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi kupambana zaidi, kesho na keshokutwa Tasnia yetu nasi ifike kwenye kilele....! das me and my Boy Nelly at the @betawards red carpet... Wenyewe wa uswazi tunamuitaga "Nelly I love you" Mzee wa Plasta๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…... Cc @bet_intl"





"[Interview fupi na Shemeji yetu Karrueche kwenye Red Carpet ya @BETawards jana Mjini Los Angeles California....] Asante sana Sheria Ngowi kwa suti hii uliyonivalisha.....] Jus Me and Our Beautiful inlaw @karrueche at the @betawards red Carpert... Thank you so much @sheriangowi for this classy and Outstanding suit... I really Nailed it... Cc @bet_intl"

No comments:

Post a Comment