Thursday, May 08, 2014

MESSI NI MCHAWI, ANGALIA JINSI ALIVYOWAGARAGAZA WAFUNGAJI WENZIE DUNIANI


Angalia jinsi wachezaji wakali waliviweka rekodi duniani, na hiyo ndio inamfanya Messi aonekane mchawi.

Juu pichani ni rekodi ya wafungaji bora duniani katika miaka tofauti, Messi ameweka rekodi kali baada ya kuwa anashinda magoli machache sana katika kipindi kibaya sana ni 40, wakati akiwa katika msimu mzuri sana anafunga magoli 73.

No comments:

Post a Comment