Thursday, May 08, 2014

DIAMOND NA WEMA SEPETU LIVE ON STAGE, HUU UTARATIBU UMEWAACHA HOI WENGI


Hii ilikuwa ni siku ya Kilimanjaro Music Award, Diamond alipokea tuzo 7 na kama anavyoonekana pichani akiwa amegandana kimwili na midomo kimahaba kama njia ya kupongezana.


Nini mawazo yako…Tafadhali shuka chini uache maoni...

No comments:

Post a Comment