Tuesday, May 27, 2014

MATOKEO MECHI TAIFA STARS 1 MALAWI 0

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeibuka kidedea baada ya kuichapa timu ya nchi jirani ya Malawi bao 1 - 0, goli lililofungwa na Amir Kiemba katika dakika ya 36, katika mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Stars, jijini Dar es Salaam.




No comments:

Post a Comment