JUU: Stage ya maonesho ya ubunifu wa nguo za mbunifu maarufu duniani Dior katika "Dior Cruise 2015", fashion show ilifanyika jana, jijini New York, nchini Marekani
Chini ni kazi ya mbunifu Roberto Cavalli
Msanii mwimbaji wa music wa RnB Mariah Carey akiwa na watoto wake katika mavazi yaliyobuniwa na Roberto Cavalli. Chini ni maandalizi ya fashion show ya Dior Cruise 2015, katika back stage, chini kabisa ni onesho la Dior Cruise 2015 likiwa linaendelea.
No comments:
Post a Comment