Thursday, May 08, 2014

HALI NI MBAYA NJIA YA MTWARA, MAGARI ZAIDI YA 100 YAKWAMA SIKU 3 (ANGALIA PICHA HALI ILIVYO SASA HIVI)

 Wakina mama wa kifanya biashara ya mama lishe ili kuwahudumia abiria na watu mbalimbali waliokwama katika eneo la Manzese Somanga.

Chini : Msururu mrefu wa magari zaidi ya 100 yanayo kwenda Lindi kutokea Dar es Salaam na kurudi yakiwa yamezuiwa kutokana na uharibifu mbaya wa barabara na kusababisha magari hayo kulala barabarani kwa zaidi ya siku 3No comments:

Post a Comment