Thursday, May 08, 2014

BAADA YA VYAMA VYA SIASA KUKAGULIWA, HAYA NDIO MADUDU YALIYOGUNDULIKA


CAG - mambo yaliyojitokeza kwenye ukaguzi wa Vyama vya Siasa

1. Vyama vya siasa 11 kati ya 21 havikuwasilisha taarifa za hesabu zao kwa mujibu wa sheria namba 5 ya mwaka 1992

2. Taarifa za hesabu za vyama vyote hazikufuata misingi ya uhasibu

3. Hakuna chama cha siasa hata kimoja hadi sasa kilichowasilisha kwa Msajili tamko la Mali zote zinazomilikiwa na chama husika kinyume na sheria ya vyama vya siasa.




No comments:

Post a Comment