Tuesday, May 27, 2014

BREAKING NEWS: RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA


Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hivi punde, Msanii maarufu wa Bongo Movie nchini Tanzania, Rachel Haule (PICHANI) amefariki dunia leo asubuhi.

Chanzo kimeeleza kuwa Rachel aliyekuwa mjamzito alijifungua jana jioni kwa njia ya upasuaji, baada ya kutokea matatizo katika hatua ya kujifungua, mtoto alipoteza maisha huku mama akipelekwa chumba cha wagonjwa mahututi, (ICU). Taarifa zimesema kuwa ilipofika asubuhi leo, Rachel alipoteza maisha.

Taarifa zaidi fuatilia hapa.
REST IN PEACE RACHEL




No comments:

Post a Comment