Baadhi ya matamasha yatakazofunikwa na mwanamuziki huyo ni Helsink Film Festival nchini Finland na Norway.
Imebainika pia kuwa Jhikoman atashiriki uwanja moja wa gwaride na wazee wa kazi FFU Ughaibuni aka "watoto wa mbwa" Ngoma Africa Band katika maonesho makubwa ya Tubingen, Ujerumani yatakayo fanyika kuanzia 17 mpaka 20 Julai 2014.
Habari zimetonya kuwa Jhikoman & Afrikabisa Band ametajwa kuwa ni balozi nyota bora ya Reggae anayekubalika kimataifa na anaweza kumudu kutingisha jukwaa lolote kubwa la Kimataifa.
No comments:
Post a Comment