HAWA NDIO WATANZANIA WALIOSHINDA KOMBE LA DUNIA KATIKA MPIRA WA MIGUU
Mwenyekiti wa Timu ya watoto wa mitaani ya jijini
Mwanza Alfat Mansoor (Dogo) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
timu hiyo kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jijini
Dar es Salaam.
Chini: Wachezaji wa timu ya watoto wa mitaani ya Tanzania
iliyo nyakuwa ubingwa wa dunia katika mashindano yaliyofanyika nchini Brazil kwa
kushirikisha timu za watoto wa mitaani, wakiwa wamebeba makombe waliyoyapa
katika mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment