Friday, April 11, 2014

MAJANGA YA MVUA: KENYA AIRWAYS YAACHA NJIA, ONA ABIRIA WANAVYOSHUKA

Abiria akishuka kwa kuteleza kutoka kwenye ndege ya shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways kwa kuteleza huku akisaidiwa  mzigo wake na mfanyakazi wa DAHACO leo wakati ndege hiyo ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Imedaiwa ndege hiyo iliacha njia na kutoka nje ya njia yake na kulazimika kushusha abira kwa style hiyo

No comments:

Post a Comment