Friday, April 11, 2014

LOWASA AKAGUA MAANDALIZI YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA SOKOINE


Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa watoto wa marehemu Edward Sokoine, Namelok Sokoine(mb) na Joseph Sokoine ambaye ni afisa katika balozi wa Tanzania nchini Kanada, kuhusiana na maandalizi ya maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli, Marehemu Edward Moringe Sokoine, kesho April 12. Rais Jakaya Kikwete ataongoza maadhimisho hayo pamoja na marais na mawaziri wakuu wastaafu.





No comments:

Post a Comment