Tuesday, March 25, 2014

MATUKIO : BUNGE MAALUMU LA KATIBA DODOMA KATIKA PICHA


Mwenyekiti wa Bunge Maalumla KatibaSamweli Sitta(wa pili kulia) akibadilishana na wajumbe leo mjini Dodoma mara baada ya kuharishwa kwa shughuli za Bunge hilo. Wengine ni Mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kulia),Captain Mstaafu John Komba , Erasto Zambi na Diana Chilolo. 

CHINI : Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt. Harrison Mwakyembe(kulia) na Lazaro Nyalandu(kushoto) wakiwahi kuhududhuria mkutano wa Bunge Maalum unaoendelea mjini Dodoma leo.



No comments:

Post a Comment