TARIME
Habari zinasema kuwa amefariki baada ya presha kupanda ghafla akitoka Musoma kuelekea Tarime kufunga Mafunzo ya Mgambo, ambapo alipelekwa haraka katika hospital ya Tarime.
Mpaka sasa mwili wa marehemu unachukuliwa kurudishwa Mkoa wa Mara ambapo alipokuwa anaishi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen!
No comments:
Post a Comment