Kama inavyoonekana pichani juu, hiyo ndio idadi kamili ya abiria waliokupepo ndani ya ndege iliyopotea.
Wakati kukiwa na habari za kuchanganya, serikali ya Malaysia imetoa taarifa kuhusiana na ndege hiyo rasmi kuwa "imepotea" na abiria wote pamoja na wahudumu wa ndege hiyo na kwamba hakuna aliyepona.
Hayo ni kwa mujibu wa ujumbe mfupi wa simu uliotumwa kwa ndugu na familia za jamaa wa abiria mbalimbali (pichani kushoto)


No comments:
Post a Comment