Friday, February 21, 2014

HAPPY BIRTHDAY JEMBE LA ZIMAMBWE, MZEE MUGABE


Mzee Mugabe akipuliza mishumaa kuashiria siku yake ya kuzaliwa, Rais Robert Mugabe wa Zimambwe leo anatimiza miaka 90, sherehe za kuzaliwa kwake zitafanyika mwisho wa mwezi februari, inadaiwa kwa sasa yuko nchini Malaysia kwa uchunguzi wa afya yake.




No comments:

Post a Comment