Friday, February 21, 2014

ONA JIJI ZURI LILIVYOOZA KWA MASAA MACHACHE, INASIKITISHA



Picha hii ilipigwa tarehe 22/04/2009, inaonesha eneo linaloitwa ‘Makutano ya Uhuru’ pia panajulikana kama Maidan, katika jiji la Kiev, nchini Ukraine pakiwa pia pana mnara wa Berehynia.

Jiji hilo limebadilika na haswa eneo hilo kwa muda mfupi tu, ukiangalia picha iliyoko chini utaona mabadiliko makubwa. Picha hii chini ilipigwa tarehe 20/02/2014, inaonesha hasara kubwa iliyosababishwa na mapambano baina ya waandamanaji na serikali ambayo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 75 na wengine 571 wakiwa wamejeruhiwa vibaya toka jumanne iliyopita.

ANGALIA LINAVYOONEKANA SASA...





No comments:

Post a Comment