Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Zanzibar zimesema kuwa ni kweli tukio la watu kutupwa majini lilikuwepo, na polisi walipoenda kufuatilia waliokota miili sita ya baadhi ya watu waliokufa.
Imma Matukio inafuatilia tukio hilo, ili kuendelea kukujulisha msomaji
No comments:
Post a Comment