Ukungu
umetanda katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini China na kulazimisha marubani
kushusha ndege kwa kubahatisha kitaalamu inaitwa “blind landing”
Lengo la
kushusha ndege hizo bila kujali ni ndege kubwa au ndogo ni kupunguza msongamano
wa ndege na abiria likiwemo pia tatizo la kuchelewesha ndege.
Pichani kulia ni
mwongoza ndege akiwa amesimama pembeni ya ndege katika uwanja wa ndege wa
Harbin, katika jimbo la Heilonhjiang mwezi wa kumi tarehe 21
No comments:
Post a Comment