Monday, November 25, 2013

LADY GAGA ATINGA NA FARASI TUZO ZA MUZIKI WA MAREKANI


Msanii wa muziki nchini Marekani Lady Gaga, akiingia katika zulia jekundu akiwa na mfano wa farasi katika ugawaji wa Tuzo za muziki wa Marekani 2013 zilizofanyika siku ya Jumapili katika ukumbi wa Nokia Theatre nchini Marekani.


No comments:

Post a Comment