Monday, November 25, 2013

JAYDEE AMTUPIA KOMBORA JANUARY MAKAMBA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee amtupia 'kombola' mbunge wa Bumbuli January Makamba kutokana na kile alichokiandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kwa madai kuwa ya kuwapromoti zaidi wasanii wa nje na kuwaacha wa nyumbani

No comments:

Post a Comment