Wednesday, November 13, 2013

KILIMANJARO MARATHON 2014 YAZINDULIWA



 Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, Elisante Ole Gabriel  (wa kwanza kushoto) akimkabidhi bendera katibu mkuu wa riadha Tanzania kuashiria ufunguzi wa mashindano ya 12 ya Kilimanjaro Marathon yanayotarajiwa kufanyika mjini Moshi tarehe 2 Machi 2014. Mashindano hayo kwa mara nyingine yamedhaminiwa tena na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


















No comments:

Post a Comment