Friday, November 22, 2013

P SQUARE WATEMBELEA WATOTO WENYE ULEMAVU


Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation, Yesaya Mwakifulefule akipeana mikono na wasanii, Peter na Paul Okoye,maarufu kama P Square wakati walipowasili kwenda kutoa msaada katika kituo cha watoto wenye utindio wa ubongo cha Msimbazi Mseto, jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment