Tuesday, November 12, 2013

BREAKING NEWS: DR MVUNGI AFARIKI DUNIA

REST IN PEACE DR. SENGODO MVUNGI



Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dr Sengodo Mvungi(Pichani) amefariki katika hospitali ya MillPark huko Afrika ya kusini alikokuwa akipata matibabu.

Dk Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani November 2 Mwaka huu nyumbani kwake Kibamba Msakuzi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kulazwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (Moi) na baadaye kuhamishiwa Hospitali ya Milpark, Johannesbarg, Afrika Kusini.

Dr Mvungi alifariki leo saa tisa na nusu. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.



No comments:

Post a Comment