Mwanamke huyo amekuwa na mahusiano na wanaume hao wawili kwa kipindi kisichopungua miaka mine na kukataa kuchagua kubakia na mmoja kati yao.
Makubaliano hayo yaliwahalalisha Sylvester Mwendwa(kushoto Pichani) na Elijah Kimani kuishi na katika nyumba ya mwanamke huyo na kukubaliana kulea watoto watakao zaliwa na mwanamke huyo.
Mwanasheria alidai kuwa ndoa yao itatambulika kisheria kama watatoa ushahidi kwamba ndoa ya aina hiyo ni sehemu ya utamaduni wao.

SOMA ZAIDI...
Afisa wa mambo ya jamii Adhalah Abdulrahman aliwashawishi wanaume hao kwa pamoja kumuoa mwanamke huyo baada ya kuona jinsi wanavyomgomania mwanamke huyo.
"Tumekubaliana kuanzia leo hatutogombana wala kutishiana au kuoneana wivu kwa sababu ya mke wetu, ambaye amesema hayuko tayari kuachana na hata mmoja kati yetu” makubaliano hayo yalieeleza alisema mtangazaji wa televisheni ya Kenya ya NTV.
“kila mmoja ataheshimu siku yake aliyopangiwa. Tunakubali kupendana na kuishi kwa amani. Hakuna aliyetulazimisha kufanya makubaliano haya.” Kiliongeza kipengele hicho
Bw. Mwenda alisema wazazi wake wamempa Baraka zote, wakati anajiandaa kutoa mahari.
Mwanamke huyo mjane mwenye watoto wawili hakutaka kutajwa jina lake.
Wivu
Bw. Mwendwa na Bw Kimani waliandaa mkataba baada ya kugundua kuwa wote wawili walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mmoja huko Mobasa kwa zaidi ya miaka mine, iliripotiwa na gazeti la Daily Nation la nchini Kenya.Afisa wa mambo ya jamii Adhalah Abdulrahman aliwashawishi wanaume hao kwa pamoja kumuoa mwanamke huyo baada ya kuona jinsi wanavyomgomania mwanamke huyo.
"Tumekubaliana kuanzia leo hatutogombana wala kutishiana au kuoneana wivu kwa sababu ya mke wetu, ambaye amesema hayuko tayari kuachana na hata mmoja kati yetu” makubaliano hayo yalieeleza alisema mtangazaji wa televisheni ya Kenya ya NTV.
“kila mmoja ataheshimu siku yake aliyopangiwa. Tunakubali kupendana na kuishi kwa amani. Hakuna aliyetulazimisha kufanya makubaliano haya.” Kiliongeza kipengele hicho
Bw. Mwenda alisema wazazi wake wamempa Baraka zote, wakati anajiandaa kutoa mahari.
Mwanamke huyo mjane mwenye watoto wawili hakutaka kutajwa jina lake.
Mwanasheria wa mambo ya familia, Judy Thogori aliliambia gazeti la Daily Nation kuwa sheria haizuii kitendo hicho cha mwanamke kuwa na waume zaidi ya mmoja.
“sharia haiongelei suala hilo lakini ili ndoa hiyo itambulike hapa Kenya, itabidi iwepo kwenye sharia au sharia za kijamii za ndoa”

No comments:
Post a Comment