Wednesday, May 29, 2013

KIFO CHA NGWAIR CHAMSABABISHA KUAHIRISHA SHOO


Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini akiwemo Mwana Fa, Izzo  Business, pamoja na Kara Pina wamehairisha shoo zao ambazo zilikuwa zinatarajia kufanyika Mei 31 mwaka huu kwa sababu ya kifo cha msanii mwenzao Albert Mangwea kilichotokea jana nchini Afrika ya Kusini.


Akilelezea sababu ya kuahirisha shoo hiyo Izzo Business alisema kuwa hawezi kuendelea na ratiba ya shoo hiyo wakati yupo katika wakati wa majonzi kwa kumpoteza msanii wao ambaye pia ni rafiki yao mpendwa .

Izzo ambaye alikuwa anatarajia kufanya shoo Ijumaa wiki hii jijini Mbeya ambayo shoo hiyo ilikuwa maalumu kwa wakazi wa jijini humo


No comments:

Post a Comment