Tuesday, May 28, 2013

NGWEA AFARIKI DUNIA


MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Albert Mangwea 'Ngwair' amefariki dunia leo akiwa  Afrika ya Kusini ambapo alikwenda kufanya shoo maalum nchini humo

Taalifa  zilizopatikana jana  zinaeleza Mangwea amefarikidunia katika hospitali ya St Hellen iliyopo jijini Johannesburg nchini humo.

No comments:

Post a Comment