Wednesday, May 29, 2013

JAYDEE ATOA TAMKO LA KUTOFANYA SHOO ILI KUPISHA TARATIBU ZA MAZISHI YA NGWEA


Msanii mwa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura 'Lady Jayde' amesitisha shoo yake ya uzinduzi wa albamu yake ya 'Nothing but Trust' iliyokuwa inatarajia kuzinduliwa mwisho mwa wiki hii jijini Dar es Salaam kwa kufwatia kifo cha msanii mwenzake Albert Mangwea aliyefariji jana nchini Afrika ya Kusini

No comments:

Post a Comment