Saturday, May 25, 2013

GARI LADONDOKEWA NA CHUMA



Gari aina ya Corola lenye namba za usajili T 883 AHB limedondokewa na chuma ambalo lilikuwa juu ya gorofa linaloendelea kujengwa mtaa wa Makamba na Viwandani Kariakoo jijini Dar es Salaam leo asubuhi, jengo hilo lenye urefu wa gorofa 12 bado linaendelea kujengwa huku baadhi ya vitu vikionekana kudondoka hali ambayo inahatarisha watembea kwa miguu na wafanyabiashara wa mtaa huo.


Matukio itaendelea kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu tukio hilo






No comments:

Post a Comment