Mara nyingi wanawake tumekuwa tukijichukia na kujiona si wazuri wala hatupendezi kwa kuangalia muonekano wa nje. Unajiangalia na kujilinganisha na wengine na kuishia kuona mabaya (usiyoyapenda) na kuacha kuona jinsi Mungu alivyokuumba Utaona kuwa hauna nywele nzuri kama fulani, umenenepa au kukonda sana, hauna elimu kama wengine, haujaolewa na mengine mengi.
Jiamini na kujikubali utafanikiwa kujitunza na kujitengeneza ili usipitwe na wakati ndicho kitu bora fanya mazoezi pata muda wa kupumzika, kula matunda kwani huboresha ngozi ya mwili pamoja na kunywa maji mengi
No comments:
Post a Comment