Friday, May 18, 2012

KIFO CHA MAFISANGO AJALI KATIKA PICHA

 Mfanyakazi wa Manispaa ya Temeke akifukia damu kama alivyokutwa na camera yetu jana asubuhi katika eneo la Chang'ombe karibu na VETA ambapo ndipo ajali iliyosababisha kifo cha Mafisango, jana alfajiri. Kama inavyoonekana ajali hiyo ilsababisha mti kukatika.

 Gari alilokuwa akiendesha Patrick Mafisango likiwa limehifadhiwa Polisi Chang'ombe, gari hilo kama linavyoonekana likiwa limeharibika vibaya na kusababisha kifo chake. Katika gari hilo kulikuwa na abiria watatu na wote wamenusurika. Chini ni picha nyingine zinazoonyesha jinsi gari hilo lilivyoharibika.





No comments:

Post a Comment