Monday, April 02, 2012

Siku Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Aliposimamia Kuweka Transforma Mpya

 Sehemu ya mitambo ya zamani iliyoharibiwa vibaya baada ya kulipuka january, mitambo hiyo ipo nyuma ya UNICEF pembeni ya Mahakama ya Kisutu


 Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Bw. Eliakim Maswi (anaeongea na simu) akiwa na wataalamu wa TANESCO kabla ya kushusha transforma hiyo

 Transforma kubwa ikiwa kwenye gari kabla ya kushushwa ili kufungwa kukidhi mahitaji ya City Center jijini Dar es Salaam

 Katibu Mkuu akiwa na mafundi waliokuwa wakijiandaa kufunga transforma hiyo, kutoka kushoto ni Bw. Furaha Mbwaga, Bi. Vaileth Ronald na Bi. Mwanahawa Hashim

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Bw. Eliakim Maswi akiwa na Mkurugenzi wa Immamatukio Blog.

No comments:

Post a Comment