Pamoja na kwamba hili linaonekana kuwa ni Daladala lakini limekodishwa kwaajili ya kubeba na kusambaza wanafunzi majumbani mwao na kuwapeleka mashuleni. Kama linavyoonekana, hivi karibuni gari hili baada ya kuishiwa mafuta huku likiwa na wanafuzi lilipita na kuweka mafuta kwenye kituo, hata pamoja na sheria ya kutopitisha abiria kwenye vituo hivyo.
No comments:
Post a Comment