Joshua Nassari akiwa na mmoja wa wakazi wa Arumeru wakati wa kampeni za kinyang'anyiro cha Ubunge ambapo ameibuka mshindi kutokana na matokeo yaliyotangazwa asubuhi hii.
Jumla ya waliojiandikisha kupiga kura Arumeru Mashariki walikuwa ni watu 120,000 waliojitokeza kupiga kura wengi ni wanawake na wazee, lakini vijana hawakuonekana, Joshua Nassari ameibuka mshindi kwa kura 32,972 akifuatiwa na Sioi Summari kwa 26,000 Aprx.
No comments:
Post a Comment