Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu akijibu maswali ya waandishi wa
habari (hawapo pichani) mara baada ya Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Fedha la
Kimataifa (IMF) Idara ya Afrika Peter Allum (kushoto) kumaliza kuongea na waandishi
wa habari kuhusu uchumi wa Tanzania ulivyokuwa licha ya kuwepo kwa upungufu wa umeme
uliosababishawa na ukame mwaka 2011. Bwana Allum pamoja na ujumbe wake walikuwa hapa
nchini kwa ajili ya kufanya majadiliano ya mapitio ya awamu ya nne ya mpango wa
msaada wa kisera.
Picha na Maelezo
No comments:
Post a Comment