Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo (kulia) akitoa tamko leo
jijini Dar es salaam la kutaka Shirikisho la Soka nchini (TFF) kulipa
Shilingi milioni 5 kwa ajili ya gharama za matengenezo ya viti vya Uwanja wa
Taifa vilivyoharibiwa na Washabiki wakati Mechi ya Simba na Kiyovu wiki
iliyopita. Uharibifu huo umesababisha viti 152 kuharibiwa na 11 kuvunjwa
kabisa. Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo kwa niaba ya Waziri wa Habari, Vijana
, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi .Kushoto ni Afisa Habari Idara ya
Habari(MAELEZO) Lydia Churi.
Picha na MAELEZO-
Dar es salaam
No comments:
Post a Comment