Friday, March 09, 2012
Khaya event jufanya Kweli jiji
Meneja Mkuu wa Business Times Limited, Aga Mbuguni(wa pili kushoto) akiwa pamoja na wasanii maarufu nchini South Africa (wa kwanza kushoto)Bleksemwakiwa katikati ni Dj Cleo akifuatiwa na Mkurugenzi wa immamatukio blog, Imma Mbuguni, na Dj Soul T. walipotembelea Business Times Limited leo ambapo waliongelea onyesho litakalofanyika jijini Dar es Salaam kesho jumamosi (10thMarch2010) katika viwanja vya Kijitonyama.
Dj Cleo na wasanii wenzie kutoka South Africa akiteta jambo na Mkurugenzi wa blog ya immamatukio, leo mchana walipomtembelea ofisini kwake jijini DSM wengine ni Dj Soul T na Bleksem (mwenye mask)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment