Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu , Usuluhishi na Rufaa
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Alex Mgongolwa (katikati) akitoa tamko leo
jijini Dar es salaam la kumfungia maisha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha
Judo Tanzania Shaban Kashinde Bundala kutojihusisha na mchezo huo na mingine
kwa kujihusisha na usafirishaji wa watu nje ya nchi kwa kisingizio cha kuwa
wanamichezo bila kibali cha BMT. Wengine ni Msemaji wa BMT Maulid Kitenge
(kulia) na Katibu Mkuu wa BMT Henry Lihaya(kushoto)
Picha na MAELEZO - Dar es alaam
No comments:
Post a Comment