Thursday, March 08, 2012

Haki za watoto wafungwa


Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) Maria Kashonda (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu uzinduzi wa kampeni ya haki za watoto waliopo magerezani na wenye kesi Mahakamani ili waweze kupata haki zao. Kulia ni Mjumbe wa TAWLA  Victoria Mandari . PIX-Chama-- Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) Maria Kashonda (kulia) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam juu uzinduzi wa kampeni ya haki za watoto waliopo magerezani na wenye kesi Mahakamani ili waweze kupata haki zao. Wengine ni Mjumbe wa TAWLA  Victoria Mandari(kulia) na Mweka Hazina wa TAWLA Aisha Bade.     

Picha na MAELEZO

No comments:

Post a Comment