Thursday, March 08, 2012

Happy Women's Day

Msanifu kurasa wa Majira Judith Alex, akitoa maelezo kwa Wabunge (kutoka kulia) Halima Mdee, Ester Bulaya na Vicky Kamata jana katika maandalizi ya siku ya Wanawake Duniani. Wabunge hao walifika kampuni ya BTL kujionea shughuli zinazofanywa na wanawake wa kampuni hiyo. Anayeshuhudia (kushoto wa kwanza) ni Mhariri wa Michezo Elizabeth Mayemba

Kina mama wakifuatilia toleo maalum la Majira lililoandaliwa na wanawake wa kampuni ya Business Times Limited jana

Dafrosa ambaye ni Mwendesha mitambo wa BPL akitoa maelezo kwa Waheshmiwa Vicky Kamata, Halima Mdee na Esther Bulaya

Mwendesha mitambo wa BPL ambao ni wachapaji wa magazeti ya Majira, Spoti na Business Times, Dafrosa Mseku akitoa maelezo kwa Waheshmiwa hao huku Mhariri wa michezo Majira(wapili kulia) akifuatilia



No comments:

Post a Comment