Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru BW.Trasias Kagenzi akimpa
maelekezo mgombea wa jimbo la Arumeru Mashariki Bw.Sioi Sumari kwa tiketi ya Chama
Cha Mapinduzi wakati alipokwenda kuchukua fomu jana (picha na Pamela Mollel)
|
Kushoto ni Katibu wa CCM, Mkoa wa Arusha Bi.Merry Chitanda,kulia
ni Mgombea wa Jimbo la Arumeru Mashariki Bw.Siyoi Sumari akiwashukuru
wanachama(hawapo pichani) waliomsindikiza kuchukua fomu ya kugombea jimbi hilo
katika viwanja vya Halmashauri ya Meru Mkoani Arusha(picha na Pamela Mollel)
|
No comments:
Post a Comment