Wednesday, March 07, 2012

Rais Azundua Mkutano wa Wakuu wa Jeshi la Polisi

(picha zote Na Ikulu)

Rais Kikwete akipokewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh. Shamsi Naodha Uuai, huku maofisa wa jeshi hilo wakishuhudia.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni kabla ya kufungua mkutano wa wakuu wa jeshi la polisi nchini katika maboresho ya jeshi hilo, unaoendelea mkoani Kilimanjaro

Add caption


Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspector General Saidi Mwema, jana.




 



No comments:

Post a Comment