Tuesday, March 13, 2012

Anaoga Barabarani katikati ya jiji

 Kamera yetu ilimnasa mheshimiwa 'teja' akioga katikati ya jiji, hapa ni Magomeni kwenye mataa ambapo licha ya kujali usafi wa jiji, jamaa huyu alikuwa anachapa maji ya uhai yaliyochanganywa na sabuni ambayo mara nyingi hutumia kuoshea vioo vya magari ili kupata chochote. Chini akiendelea kujipaka sabuni mikononi




No comments:

Post a Comment