Tuesday, March 13, 2012

Soko La Samaki

Magomeni Kota pamoja na kusafishwa kwa kubomolewa nyumba zote kama picha inavyoonyesha ili kupisha ujenzi wa nyumba za kisasa, bado kasoko ketu kapo, jamaa wanaendelea kusupply samaki kama wanavyoonekana katika picha jana jioni

No comments:

Post a Comment