Monday, February 06, 2012

Ubalozi wa Marekani wadhamini Bendi

Kiongozi wa Kundi la Mwanamilambo Bendi,  Mango  Star(kati), akionyesha Umaili wake
katika kucheza na Nyoka wakati wa zoezi la Kupiga Picha za Mabango yanayobeba Ujumbe
wa Albamu yao iliyodhamini wa na Ubalozi wa Marekani jana.

Wasanii wa Mwana-Milambo Bendi, wakionyesha Mabango yanayobeba Ujumbe wa Albamu yao
Mpya iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Marekani, wakati wa upigaji picha katika Ufukwe wa
Coco Beach Dar es Salaam jana.


Wasanii wa Mwana-Milambo Bendi, wakionyesha staili ya Sarakazi, wakati wa
kupiga picha za Mabango yanayobeba Ujumbe wa Albamu yao Mpya iliyodhaminiwa na
Ubalozi wa Marekani, wakati wa  upigaji picha katika Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam jana.
 
 
 
 
(Picha Zote na Shaaban Mpalule).



No comments:

Post a Comment