Tuesday, February 07, 2012

JK Alipokutana na Kundi la Wachuuzi Mwanza

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la
wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda
Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja
na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete
ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.



No comments:

Post a Comment