Tuesday, December 27, 2011

Mtaa wa Kongo

Huu ndio mtaa wa Kongo, hii ilikuwa jumamosi kabla ya chrismass, watu wa kutosha, wezi nao ndio usiseme, ili mradi kila mtu anatafuta kitu. Ama kweli rizki ya mwanadamu lazma uinyatie...


No comments:

Post a Comment