Thursday, December 29, 2011

Matukio Jijini

Bibi ombaomba akitafuta rizki jana katika makutano ya barabara ya Uhuru na Bibi Titi Mohammed. Wakati mwingine alisababisha msururu wa magari kwani anatembea polepole sana na huenda kuzunguka gari ili kuomba.



Wateja wasamaki walivamia mtumbwi baada tu ya kuwasili kwenye pwani ya Kawe, juzi kama walivyokutwa na camera yangu. Kawe imetokea kuwa soko maarufu la samaki jijini kwani watu wengi huwapata wakiwa fresh.

Vijana wakiwa wamepotelea kabisa katika kamali, kama walivyokutwa juzi na kamera yangu huko Kawe Maringo


No comments:

Post a Comment