Tuesday, March 15, 2011

JINSI YA KUUA PWEZA

PWEZA NA KICHAPO:
  Nenda Soko la Kimataifa la Samaki Feri ukaone jinsi Pweza anavyokula kichapo ili aweze kulainika. Samaki huyo inasemekana haivi akipikwa bila kupigizwa ardhini.


No comments:

Post a Comment