Tuesday, March 15, 2011

BIASHARA JIJINI

Wauza samaki wakisubiri wateja katika barabara ya Bagamoyo ya zamani karibu na eneo la kwa Nyerere, eneo hilo polepole limeanza kupata umaarufu kwa shughuli hiyo.
Umachinga unazidi kuchukua sure mpya jijini. kama ambavyo teknolojia inakuwa, na umachinga unakua pia. hawajamaa wanauza vyombo vya nyumbani karibu na hospitali ya TMJ kama wanavyoonekana.


No comments:

Post a Comment